Jumanne, 22 Julai 2014

KUMCHA ALLAH NA KUSEMA MANENO YA KWELI

Mwenyezi Mungu (swt) anasema: Enyi mlioamini mcheni Allah na mseme maneno ya kweli atakutengenezeeni mambo yenu na kukusameheni makosa yenu na mwenye kumtii Allah na Mtume wake atakuwa amefaulu kufaulu kuliko kukubwa.

Hivyo ndugu zangu waislam, tujitahidi kumcha Allah (swt) na kuwa wakweli katika kauli zetu na matendo yetu ili Mwenyezi Mungu Mtukufu kututengenezea mipango yetu na kutusamehe makosa yetu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni